tag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post1996588381554142096..comments2023-05-02T14:15:21.732+01:00Comments on Mwanasosholojia: Wadau Mwanasosholojia Yupo Yupo!Mwanasosholojiahttp://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-59654439919788664142009-06-17T16:18:14.276+01:002009-06-17T16:18:14.276+01:00Tungo nzuri...Kweli, mama mtu mhimu. Shukran kwa k...Tungo nzuri...Kweli, mama mtu mhimu. Shukran kwa kutujulisha kinachoendelea... mambo ya dunia sio rahisi..

serina.Serinahttp://www.serinaserina.wordpress.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-14971141700226310252009-06-17T15:12:15.237+01:002009-06-17T15:12:15.237+01:00Kaka Mwanasosholojia! kwanza pole sana tena sana n...Kaka Mwanasosholojia! kwanza pole sana tena sana nipo pamoja nawe.
Nina imani maombi yako Mungu ameyasikia
Na mama atapata nafuu na utakuwa naye
Pia atacheza na wajukuu wake
Najua hakuna kitu cha kufananisha kama mama.
Nakuomba mpe pole toka kwangu.Mungu yupo nanyi nami nitakazana kutoa maombi yangu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-24156236381459154282009-06-17T00:05:46.201+01:002009-06-17T00:05:46.201+01:00Pole na majukumu,Mwanasosholojia.Muumba ampe upony...Pole na majukumu,Mwanasosholojia.Muumba ampe uponyaji wa haraka mzaa chema (bimkubwa).Na kijana wetu asichelewe kukopi mema yote za Mwanasosholojia.Tuko pamoja.Evarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-4816822035294403042009-06-15T17:58:07.283+01:002009-06-15T17:58:07.283+01:00Dah!!nimesoma hizi tungo na zimenigusa sana,tumtan...Dah!!nimesoma hizi tungo na zimenigusa sana,tumtangulize Mungu katika kila jambo nina imani kabisa mama yetu,pamoja na mtoto Domi watapona na wataruhusiwa mapema.Mankanoreply@blogger.com