tag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post849525831166550975..comments2023-05-02T14:15:21.732+01:00Comments on Mwanasosholojia: Kwaheri ya Muda Dublin, IrelandMwanasosholojiahttp://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-82058451091693484542011-10-05T10:33:09.009+01:002011-10-05T10:33:09.009+01:00NITAKUPANDIA HUKO GHOROFANI UNAJUA UNANITAMANISHA ...NITAKUPANDIA HUKO GHOROFANI UNAJUA UNANITAMANISHA IN SHORT MATUKIO YA PICTURE ZAKO UMEPANGALIA VIZURI KABISA.ANGELA JULIUSnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-74899851213737988072009-05-31T11:57:57.893+01:002009-05-31T11:57:57.893+01:00Dada Yasinta Ahsante sana, sitaacha kublog!Una wiv...Dada Yasinta Ahsante sana, sitaacha kublog!Una wivu...maskini usijinyonge dadangu, na wewe si ulikuwa Bongo hivi karibuni?

Manka ahsante pia, jikoni ni kawaida kwangu, na wala sioni aibu mwanaume kuandaa maakuli..kupika si mwanamke tu..ni kazi ya wote! Mada unazoulizia ni zipi, za blog au za taaluma?Nijulishe nikufahamishe.

kaka Mbilinyi ahsante, salamu zimefika...tupo Mwanasosholojiahttps://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-89879703376665173692009-05-28T11:27:15.715+01:002009-05-28T11:27:15.715+01:00Hongera.Mambo vipi?karibu Bongo tusaidiane kuyawek...Hongera.Mambo vipi?karibu Bongo tusaidiane kuyaweka mambo sawa, manake utofauti wa kimazingira utakauona na kufanya tathmini toka ulipoondoka na sasa, ndio huo utakusuma kusimamia mabadiliko.Tram Almasihttps://www.blogger.com/profile/03493548681461312498noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-51503831629757445212009-05-26T11:47:42.333+01:002009-05-26T11:47:42.333+01:00Mambo yako kumbe mswano,
Kuna vitu vinono nono,
Bl...Mambo yako kumbe mswano,
Kuna vitu vinono nono,
Blog yako imetulia.

Karibu sana nyumbani,
Umechoka ugenini,
Likizo kujipumzikia.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-10204201543676611332009-05-25T16:29:11.927+01:002009-05-25T16:29:11.927+01:00Hello kaka,
Hongera sana kwa kutupa habari kamili ...Hello kaka,
Hongera sana kwa kutupa habari kamili ambayo pamoja na picha basi ujumbe unakuwa umefika kikamilifu.

Salaamu sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki pia nikutakie likizo njema huko Tanzania.

Nakutakia mafanikio memaLazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-23193426690403903332009-05-25T14:57:29.601+01:002009-05-25T14:57:29.601+01:00Tunashukuru kwa picha nzuri,Raha sana kumuona mwan...Tunashukuru kwa picha nzuri,Raha sana kumuona mwanaume anaingia jikoni kupika,nakuonea wivu unaenda nyumbani,tunakutakia safari njema Mwenyenzi Mungu akutangulie.Mada zako zilizopita zinapatikana wapi?Mankanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-81752116639835941872009-05-25T08:46:18.909+01:002009-05-25T08:46:18.909+01:00Mi binafsi nimezifurahia picha zako. Kikubwa ni kw...Mi binafsi nimezifurahia picha zako. Kikubwa ni kwamba nakutakia SAFARI njema na nakuomba usiache kublog. Kwani kuna mambo mengi nimejifunza katika blog yako. Salimia Familia yako na kula sana vyakula vya nyumbani. Ila nakuonea wivu ujue:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com