tag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post9080521372876937096..comments2023-05-02T14:15:21.732+01:00Comments on Mwanasosholojia: Chagua Mwanasosholojia Tuzo za Blog!Mwanasosholojiahttp://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7083611134941980307.post-60910263149840047482011-06-25T16:02:54.681+01:002011-06-25T16:02:54.681+01:00Siamini kama kweli watu mmekazania upuuzi huu. Uki...Siamini kama kweli watu mmekazania upuuzi huu. Ukishinda ndiyo utapata nini? Umaarufu? Unawajua hawa waandaaji?

Zoezi zima hili ni upuuzi mtupu. Watanzania hatuwezi kufanya kitu kwa haki na transparency. Kila kitu ni kwa kujuana na kufuata sifa na umaarufu.

Bloggers wana nafasi kubwa sana katika jamii na wanapokubali kufanyiwa mchezo wa kipuuzi kama huu inasikitisha.
<Stella Fumbukahttps://www.blogger.com/profile/09837922130384689114noreply@blogger.com