27/03/2011

Waziri Kenya ataka Babu Ambi akamatwe

Waziri wa afya wa Kenya, Beth Mugo ametaka Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile almaarufu kama "Babu Ambi wa Loliondo" akamatwe kwa kuudanganya umma. Mugo anasema anajiandaa kutumia mkutano wa mawaziri wa afya utakaofanyika Burundi wiki ijayo kumtaka waziri wa afya wa Tanzania amfunge Babu Ambi pamoja na "kliniki" yake. Mambo haya sasa...waweza kucheki "vidio klip" hii ya NTV.

2 comments:

  1. sijui itakuwaje katika mkutano huo na baada ya mkutano. Tusubiri tuone

    ReplyDelete
  2. hawa wakenya wanachekesha kweli kwani babu amemlazimisha mtu aande kunywa dawa yake?wapeleke ukabila yawo kule tz hatujazoea ukabila kama wao

    ReplyDelete