03/07/2011

"Kasongi" ka Jioni

Kwa hakika nyimbo hii ni moja ya nyimbo zinazovutia sana na zisizochuja. Mwenyekiti wenu nilipitisha muda kidogo bila kuusikiliza. Jana jioni niliusikia tena ukipigwa sehemu ukanipa burudani mno. Leo nimeona niupachike hapa tuburudike sote kumalizia wikiendi. Bofya umsikilize Peter Andre na tungo yake aliyomshirikisha Bubbler Ranx ya Mysterious Girl. Ukipenda kusikiliza huku ukisoma mashairi yake, bofya HAPA

1 comment: