27/03/2012

Kitabu Kipya cha Profesa Shivji

Kitabu kipya cha Profesa Issa Shivji kiitwacho Insha za Mapambano ya Wanyonge kilichohaririwa na Mwalimu Bashiru Ally, kitazinduliwa  tarehe 12-13 Aprili 2012 kwenye Tamasha la Nyerere. Jiandae kujipatia nakala yako.


No comments:

Post a Comment