09/01/2010

Leo Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Mwanasosholojia

Mwanasosholojia leo anakumbuka siku ya kuzaliwa kwake. Hakuwepo kwa kipindi kutokana na majukumu yaliyoshindwa kuzuilika. Amerejea akiwa mwenye furaha na bashasha.

Sambamba na kumbukumbu hii muhimu, anachukua nafasi hii kuwashukuru wazazi wake. Anamkumbuka sana mama yake, na huko aliko anamwambia kwa ufupi;

Siku ya kuzaliwa kwangu
Nakukumbuka mama yangu
Utabaki moyoni mwangu
Siku za kuishi kwangu


8 comments:

  1. Hongera mwanakwetu, Mungu azidi kuwa nawe.

    Stay blessed.

    ReplyDelete
  2. Kaka Mathew hongera sana kumbe tumezaliwa mwezi mmoja na wiki moja. Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  3. Kaka. Nakuombea maisha mema na yenye mafanikio.
    Mama alipo KAPUMZIKA anajivunia uwepo wako.
    Blessings

    ReplyDelete
  4. Kaka nimefurahi sana umerudi ukiwa mwenye furaha na bashasha.Huwa napita hapa mara kwa mara!Heri ya siku yako ya kuzaliwa!Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete