09/06/2012

"Hepi Besdei" kwa Dommy na Pinu!

Dominick "Dommy" akiwa na "braza" wake Agripinus "Pinu"
Leo tarehe 9 Juni ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Dominick Mathew Senga a.k.a Dommy na kesho tarehe 10 Juni ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Agripinus Mathew Senga a.k.a Pinu. Dommy na Pinu ni uzao wa kiume wa Mwanasosholojia. Kibaraza hiki kinawatakia kumbukumbu njema na baraka tele Dommy na Pinu. Kibaraza kinawaambia kwa king'eng'e...
 
May the cup of your life be full of sweets and savories, hopes and dreams, success and accolades. Happy Birthday dear sons


3 comments:

 1. Dominick Mathew Senga a.k.a Dommy na Agripinus Mathew Senga a.k.a Pinu Nawatakia kumbukumbu njema ya siku yenu ya kuzaliwa...

  Mwanasosholojia nawe nakupongeza sana kaka kwa kuwakuza Dommy na Pinu

  ReplyDelete
 2. Dominick Mathew Senga a.k.a Dommy na Agripinus Mathew Senga a.k.a Pinu Nawatakia kumbukumbu njema ya siku yenu ya kuzaliwa...

  Mwanasosholojia nawe nakupongeza sana kaka kwa kuwakuza Dommy na Pinu

  ReplyDelete
 3. Hongereni sana kwa siku zenu za kuzaliwa na Mungu azidi kuwajalia na muwe na miaka mingi ili wajukuu wenu wawaone. Na hongera sana wazazi kwa kuwalea watoto hao mpaka kufika hapo walipo. Mungu azidi kuwapa nguvu.

  ReplyDelete