18/05/2009

Ni Lazima Twende Chachi?

Dogo akikonsetreti huku dogi nalo likikonsentreti chumbani kwa dogo

Jumapili imenifanya niwaze tena, hasa baada ya kuamua kupiga goti na kusali homu badala ya kujongea chachi. Hivi ni lazima kwenda chachi kila Jumapili au hata kama ukibana homu na kusali inatosha? wadau, naomba mnisaidie kunipa jibu ya hili!

6 comments:

 1. Kaka yangu habari za weekend!!Mimi binafsi ninavyoona kama una muda wa kwenda chachi kila j'pili basi nenda kama hauna kama mimi mbeba boksi basi si lazima kwenda kwani Mwenyenzi Mungu anasikia maombi yetu popote sio lazima chachi tu!!!!

  ReplyDelete
 2. But whenever you pray, go into your room, close the door, and pray to your Father who is hidden. And your Father who sees from the hidden place will reward you.

  ReplyDelete
 3. "For where two or three have gathered together in My name, I am there in their midst."

  ReplyDelete
 4. Kwenda kanisana sio ndio Mungu atayasikia maombi yako. Kusali ni muda wowote na sehamu yoyote ile.Amen

  ReplyDelete
 5. Hello...Nice posts,nice pictures.

  ReplyDelete
 6. Si lazima kwenda kanisani kwani Mungu husikia maombi sehemu yeyote hata kama unatembea huku ukisari

  ReplyDelete