08/03/2010

Pongezi Wanawake wote Duniani!


Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wanawake wote kwa kuadhimisha siku yenu leo. Kwa ushirikiano na umoja thabiti, mnaweza kutekeleza kila mnalopanga. Pongezi za dhati kwenu!

2 comments:

  1. Ahsante kaka Mathew kwa kutukumbuka wanawake. Na ahsante kwa pongezi.

    ReplyDelete
  2. Ahsante kushukuru dada Yasinta

    ReplyDelete