Kitabu cha Mwanasosholojia kilichotokana na tafiti yake ya shahada ya uzamili kinapatikana kwa wasambazaji wa vitabu wa Ulaya na Marekani, na baadaye kitapatikana nyumbani Tanzania. Pia kinapatikana mtandaoni kupitia https://www.morebooks.de/store/gb/book/accumulation-by-dispossession-and-displacement/isbn/978-3-8433-8344-8 na http://www.amazon.com/Accumulation-Dispossession-Displacement-MATHEW-SENGA/dp/3843383448/ref=sr_1_1?s=books&ie=UTF8&qid=1292399587&sr=1-1
Hongera kakangu ngoja nikimbie huko mtandaoni!!
ReplyDeleteHongera Mkuu!
ReplyDeletekaka hongera sana. Nitakitafuta kitabu chako na kukuunga mkono..
ReplyDelete