30/11/2010

Mbongi wa Makamu Mkuu wa Chuo Tisa Desemba

Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeeandaa Mbongi (Palaver) wa Makamu Mkuu wa Chuo siku ya maadhimisho ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika, tarehe 9 Desemba, 2010, saa 3.30 asubuhi hadi saa 9.30 alasiri, katika ukumbi wa Nkrumah. Mada ya Mbongi ni "UHURU UNA MAANA GANI KWANGU: MTAZAMO WA VIJANA" na ratiba ya mbongi ni kama inavyoonekana hapa chini. Nyote mnakaribishwa!


SAA

TUKIO

MHUSIKA

3:15 - 3:50

Kuwasili wageni

Maonyesho ya Hotuba ya Mwalimu

Walter Luanda

& Sabatho Nyamsenda

3:50-4:00

Neno la kuwakaribisha wageni

Prof Issa Shivji

10.00 am – 11.00 am

BOOK LAUNCH:

CHECHE: REMINISCENCES OF A RADICAL MAGAZINE

(Sponsor: UDASA)

Chair: Vice-Chancellor Professor Rwekaza Mukandala

Guest to launch: Dr. A. Kibogoya, Chairman UDASA

Master of ceremonies: Dr. Kitila Mkumbo

Editor & authors: Professor Karim Hirji

Honourable Zakia Meghji

Henry Mapolu

George Hadjivyanis

Ambassador Christopher Liundi

10.00 am – 10.15 am

Editor’s introduction

Prof. Karim Hirji

10.15 am- 10.25 am

Launching

Dr. Kibogoya

10.25 am – 10.40 am

Review of the book

Salim Msoma

10.40 am – 10.50 am

How I heard of Cheche and what I think of it.

Chambi Chachage

10.50 am – 11.00 am

Personal reflections on Cheche times

Prof. Rwekaza Mukandala

11.00 am – 11.30 am

Maonyesho ya Filamu ya Tamasha la pili la kitaaluma la Mwalimu

11.30 am – 11.35 am

Ufunguzi wa Mbongi

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu

11.35 am – 12.35 pm

Wanambongi wanabonga

1.Mwl. Bashiru Ally (UDSM)

2. Jehovaness Zacharia(Tanzania Consumer Advocacy Society)

3. Redemptus Caesar (Mbezi Beach S/S)

4. Prisca Urio (Mwalimu Nyerere Academy)

5. Diana Kamara (UDSM)

6. Sabatho Nyamsenda

12.35 am – 01.25 am

Washiriki kuchambua

Wote

1.25 am – 2.00 pm

Majumuisho & Kufunga Mbongi

Mchokozi Mkuu

2.00 pm – 3.00 pm

Mapumziko ya Chakula

Wote

2 comments:

  1. Samahani kaka Niekuwa mgumu kuelewa, hivi kunatakiwa kiingilio au ni bure?

    ReplyDelete
  2. Dadangu Koero, hakuna kiingilio, ni bure kabisa!

    ReplyDelete