25/11/2010

Ukikutana na Hii...


Ni lazima ustaajabu endapo utakutana na cheti cha "mtihimu" wa namna hii. Ingawa "diteiliz" za cheti "zimechakachuliwa" lakini najiuliza, tukibanana vilivyo bila kuruhusu uchakachuaji wa matokeo na wizi wa mitihani, hatuwezi kuwa na wahitimu wengi wenye vyeti vya namna hii?

2 comments:

  1. Ahsante sana kwa taarifa hii muhimu!!

    ReplyDelete
  2. Matokeo yake yanafanana na jina lake. Hapo lawama kwa wazazi waliochemka katika kuchagua jina la mtoto

    ReplyDelete