19/11/2010

Niliipenda hii ya Mzungu

Huyu jamaa mzungu Joseph Payne mshiriki wa mashindano yanayoendelea ya Bongo Star Search (BSS) alinikosha kweli kwa mtiririko wa unenguaji na uimbaji wake...vyote vinaweza kwenda pamoja tukaburudika namna hii...

2 comments: