19/11/2010

Tafsiri ya Kiingereza!


Kuna wakati mwingine inakulazimu kuweka tafsiri ya lugha ya kigeni ili kuweka msisitizo wa unachokimaanisha. Imekaaje hii wadau?

1 comment:

  1. Watu weweeeeeeeeeeeee haya kaka hiyo imekaa vizuri . Yaani nimecheka mpaka mbavu zaniuma..... kazi kwelikweli

    ReplyDelete