08/01/2011

Hepi Besidei Mwanasosholojia!


Tarehe 9 Januari ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Mwanasosholojia. Anachukua fursa hii kumshukuru Muumba pamoja na watu wote ambao kwa namna moja au nyingine wamechangia kumfikisha alipo leo. Katika kupekua pekua alikutana na "kapicha hako juu kalikochukuliwa miaka hiyooo akiwa na miezi kadhaa", akaona ni vyema akabandike hapa kibarazani kuisapoti kumbukumbu yake.

3 comments:

 1. Hongera sana mwana mwezi mmjoja uwe na siku njema katika siku yako ya kuzaliwa na Muumba awe nwe daima. Hongera kaka M.

  ReplyDelete
 2. Hepi BETHDETI Mwanasosholojia!
  Picha bomba MKUU!

  Kumbukumbu zinautamu wake!

  ReplyDelete
 3. Nimechelewa kidogo, lakini hakija haribika kitu.

  Happy birthday kaka.

  ReplyDelete