30/04/2011

Mdau Giorgio apata "Jiko la Kitanzania"

Mdau Giorgio na Evelyn, mwaka jana wakati wa uchumba wao
Ni kama vile wanasema: "...unajisikiaje mpenzi?...vizuri sana mai dia..."
Na hapa:"...yaani nimefurahi sana mume wangu...hunishindi mimi malkia..."
Just wedded kiss!
"...hebu tufotoe na hapa...."
"...shhhhhh!wasikusikie hani...."
Mdau Giorgio Giuliani Muitaliano kiasilia jana ametimiza ndoto zake za muda mrefu baada ya kufunga ndoa na Evelyn Kaijage Mtanzania kiasilia. Nakumbuka 2009 Mdau Giorgio aliwahi kuniambia anapenda sana kuja kuoa binti wa kiafrika. Kwa hakika ndoto zake zimetimia.Kibaraza hiki kinapenda kuwapongeza sana "Injinia na Misezi" Giorgio Giuliani kwa hatua hii nzuri na kuwatakia maisha ya baraka na mafanikio katika ndoa yao.

3 comments:

  1. evelyn Kaijage02/05/2011, 20:02

    Asante sana, tunashukuru kwa maombi na wishes njema.
    Mrs Giuliani

    ReplyDelete