15/04/2011

Sisi na Ufisadi, wenzetu na wizi wa Kalamu!

Ilinistaajabisha kidogo hii video inayomuonesha Rais wa Jamhuri ya watu wa Czech akiiba kalamu!Imenifanya niwaze na kujiuliza maswali kadhaa...wakati sisi tunapigia upatu ufisadi na wizi wa mali ya umma, wenzetu wanaiba kalamu!

No comments:

Post a Comment