06/05/2011

Ni uvivu, uzembe au hulka?

Wakati "mafestilediz" wa wenzetu wanafanya hivyo...
 
Na hata namna hiyo juu...

Wa kwetu hivi ndivyo wanavyotekeleza majukumu yao...

Tuiteje hii wadau, uvivu, uzembe au hulka?

3 comments:

 1. Lakini tukumbuke hata huko kwao Michelle ni spesho mambo zake! Ukikumbuka wake za akina Bush mpaka .... ukiachana na Mke wa Rais wa Ufaransa ambaye fulu ukimpa gita na kipaza sauti kutekenya mambo. Wengine ni mkao wa kukaa na kupendeza na fulu kufuata protokali za nchi zinasema nani achekewe na nani anuniwe!

  Jamaa Obama linajua kweli kuopoa ngoma yani!

  Ni mtazamo wangu tu huu!

  ReplyDelete
 2. Labda "utamaduni"? Kweli nalo ni swali, Mkuu!

  Sijui wengine wanasemaje; lakini kwa upande wangu, aisee, nimevunjika mbavu@Simon hapo juu:

  "..Wengine..fulu kufuata protokali...zinasema nani achekewe na nani anuniwe!"

  ReplyDelete
 3. AFRICA NO HURRY, UMEONA TULIVONENEPEANA, TUNACHOFIKILIA NI KUVAA MAVAZI YA GHARAMA NA VITO VYA THAMANI LAKINI SIYO SIRI MAZOEZI HATUFANYI KABISA UNAJUA KILA KITU NI MAZOEA KAMA SI HULKA.

  ReplyDelete