07/05/2011

Uchapakazi wa Waziri Magufuli


 Video kwa hisani ya http://kennedytz.blogspot.com

Utendaji na uchapakazi wa Waziri wa Ujenzi, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ni wa mfano wa kuigwa. Mikwara kama hii na ufuatiliaji inaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa majukumu kwa wakati. Mawaziri na watendaji wengine bongo kwa nini wasiwe kama Dokta Magufuli?

No comments:

Post a Comment