07/05/2011

Osama kupata Mrithi!

Ayman al-Zawahiri
Inasadikika kuwa baada ya kuuawa kwa Osama bin Laden, aliyekuwa kiongozi namba mbili wa mtandao wa kundi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri,daktari mzaliwa wa Misri mwenye umri wa miaka 59 ndiye anatarajiwa kuwa kiongozi wa kundi hilo. Zaidi BOFYA HAPA

Haya sasa, naona picha ndo linaanza...watafuata wengi, si ndiyo maana ya neno mtandao au??

4 comments:

 1. Na apate tu, kama anapata! WE ARE LOOKING FORWARD TO AN INTERESTING WORLD!

  ReplyDelete
 2. Interesting and peaceful@mkuu GMP or interesting and chaotic?

  ReplyDelete
 3. Sasa huyu si ndio inasemekana ni mwalimu aliyemfunza Bin Laden Ubinladen?

  Kwanini hakuwa yeye kiongozi mwanzo mpaka akamuhitaji Bin Laden na anashindwa nini kufunda mwingine wakati walimu tunajua wanamchezo wa kujua wanafunzi wafaao katika kutekeleza kemia wakati walimu wa kemia wanabakia mashuleni kufunza kemia?

  Nawaza tu kwa sauti!

  ReplyDelete
 4. Mmmh, mimi ndo hapo napata kigugumizi @ Mtakatifu..

  ReplyDelete