10/06/2011

Hepi Besdei "Pinu" na Juma Mbega!

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa "jembe" jingine la Mwanasosholojia, Agripinus almaarufu "Pinu". Lakini pia ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Juma C. Mbega. Juma ni mdogo wa hiyari wa Mwanasosholojia tokea enzi zile za Mzumbe Sekondari, Morogoro. Kwa sasa Juma ni Mtaaluma katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). 

Agripinus "Pinu" Mathew
Juma Mbega
Hongereni kwa kumbukumbu hii muhimu Pinu na Juma!

2 comments:

  1. Hongereni wapendwa kaka Pinu na Juma! Mungu awazidishie kila lililo jema na miaka mingine mingi.

    ReplyDelete