09/06/2011

Hepi Besdei Mwanasosholojia JrLeo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Dominick "Mwanasosholojia Jr". Kibaraza hiki kinamtakia maisha marefu yenye baraka na mafanikio. HAPPY BIRTHDAY DOMINICK!

6 comments:

 1. HONGERA SANA kwa siku ya kuzaliwa Dominick. Nakutakia kila la kheri katika mzungunguko huu wa maisha. Pia nawatakia wazazi wako nguvu ili waweze kukulea na ukue uwe kijana mwema. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA....SALAAM toka kwa shangazio

  ReplyDelete
 2. HAPPY BIRTHDAY DOMINICK, twamtakia maisha mema na yenye baraka tele!

  ReplyDelete
 3. Ati, Bwana Mathew Agripinus Senga "Mwanasosholojia", huyu Bw Dominick anamiaka mingapi sasa?

  Ninasababu ya kuuliza Jamaani, kwani namtafutia mchumba Tamara wangu ambae ni mdada mdogo mdogo anaependeza mwenye miezi nane kesho (mzaliwa tarehe 10.10. 2010)!


  ANYWAY, asante kututaarifu, Mkuu. Wewe usiemjuwa Bwana Senga chunguza basi sura tu ya mtoto na utaamini yale ya Wahenga: Mtoto wa nyoka ni nyoka; na mtoto wa Mwanasosholojia naye ni Mwanasosholojia tu!


  Happy Birthday, Dominick, Sonny! You can be proud you have a broadminded father!

  ReplyDelete
 4. Shukrani!GMP kajamaa kamegonga miaka miwili sasa...mmmh, kwa kuwa umeshamnadi Tamara, itabidi tujikunje kwa kuandaa ng'ombe sasa...teh!teh!teh! :)Ahsante mkuu!

  ReplyDelete
 5. happy belated birthday Dominick!!

  ReplyDelete
 6. ANGELA JULIUS05/10/2011, 09:55

  INGAWA NIPO NYUMA KWA WAKATI ILA NAMI NAMTAKIA MWANANGU DOMY MAISHA MAREFU YENYE BARAKA NA MAFANIKIO TELE. KWELI DUU UNA DAMU KALI HAMNA KUULIZA HAPO LOL HA HA HA

  ReplyDelete