15/06/2011

Taswira ya Leo!

Imekaaje hii wadau?Na ukisema uitolee maelezo kwa kuchukulia mfano wa baadhi ya viongozi wetu serikalini na katika mashirika au taasisi mbalimbali, unaweza kusemaje?

3 comments:

  1. kwani kuna kingine zaidi ya UFISADI AKA KUTAFUNA NCHI? WANADHANI SISI TUPO ILI MRADI TU :(

    ReplyDelete
  2. ANGELA JULIUS05/10/2011, 09:45

    UROHO NA ROHO MBAYA , KIONGOZI WA NAMNA HII MWISHOWE NI MBAYA. INSHORT IMENILIZA

    ReplyDelete