15/07/2011

Hepi Besdei Beatus Nsiima!

Beatus Nsiima
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Mdau Beatus Nsiima a.k.a Baba Asimwe. Beatus ni Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Kibaraza hiki kinakutakia baraka na mafanikio lukuki Mdau Beatus. 
Hepi Besdei tu yuu Beatus!

1 comment: