15/07/2011

Hongereni Sulle na Mshale!

Emmanuel Sulle
Mwanazuoni Emmanuel Sulle, anayefanya Shahada ya Uzamili amejishindia tuzo ya utafiti ya Conservation Research in Eastern Africa’s Threatened Ecosystems (CREATE) kutoka Frankfurt Zoological Society. Kamaradi Sulle atafanya utafiti juu ya Impact of Microcredit Institutions-Community Conservation Banks eneo la Serengeti, Tanzania kipindi cha mwaka 2011-2012.
Zaidi soma HAPA

Baruani Mshale
Hivi karibuni, Mwanazuoni mwingine anayefanya Shahada ya Uzamivu, Baruani Mshale alijishindia International Dissertation Research Fellowship (IDRF) kutoka Social Science Research Council (SSRC). Fellowship hii itamuwezesha kufanya tafiti ya andiko lake linalohusu uharibifu wa misitu katika vijiji kumi na viwili vya wilaya ya Kilwa, Tanzania.
Zaidi soma HAPA
 
Hongereni sana Wanazuoni Sulle na Mshale!

1 comment:

  1. Ninawapongeza wanazuoni, Imenifurahisha kwa Mshale kuamua kufanya utafiti wake Tanzania na eneo ambalo ni tatizo kubwa sana nyumbani. Ninaamini serekali itamtumia na si kumuacha aishie nje.

    Kijana wangu SULLE najua tutaonana Maryland tena ukimaliza likizo/research Tanzania. Hongera sana NINAKUAMINIA...

    ReplyDelete