18/07/2011

Hepi Besdei Sam Balele


Sam a.k.a "Bab'Kaju"
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Samwel David Balele almaarufu kama "Bab'Kaju", swahiba wa takribani "dikedi" moja na ushee wa Mwanasosholojia. Nachukua fursa hii na wanakibaraza  wote kukutakia maisha marefu na yenye mafanikio ndugu na rafiki yetu Sam. Mungu akubariki sana na kukuongoza katika kila ufanyalo. 
"Hepi Besdei awa frendi Bab'Kaju"

1 comment: