26/07/2011

Katuni ya Leo

Inaelezwa kuwa waliobuni rangi za bendera ya Taifa ya Tanzania waliona mbali...


3 comments:

  1. ama kwa hakika waliobuni rangi hizo waliona mbali.....mchora katuni kasahau tu kuwa Kijani inawakilisha zile nyasi ambazo Pesambili Mramba alisema tutalazimika kula ili ndege inunuliwe...

    halafu njano inawakilisha wale wakuu wetu kule North Mara na kwingineko.....rangi gani sijaitaja? Bluu? Unataka nayo niiseme?

    ReplyDelete
  2. Kwa maana ya tatizo la umeme Tz kipanya is very right lol!

    ReplyDelete