10/07/2011

Shukrani Wadau!


Nawashukuru wadau wa Kibaraza hiki kwa kura mlizokuwa mkipiga kipindi cha kuwania tuzo za Tanzanian Blog. Kibaraza chenu kimepata nafasi ya 2nd Runner Up katika Categories za Best Informative-Lifestyle Blog, Best Informative-Economy Blog na Best Entrepreneur Blog. Matokeo  yaliyotangazwa na waandaaji katika categories hizo ni kama yafuatavyo: 


Best Informative - Lifestyle Blog
http://thesporahshow.blogspot.com-33.07%
http://mwanasosholojia.blogspot.com-18.9%
http://bongoflavortz.blogspot.com-18.11%
http://adeladallykavishe.blogspot.com-10.24%
http://mtangazaji.blogspot.com-8.66%
http://ahmed-kidume.blogspot.com-5.51%
http://nyombwe.blog.co.uk-2.36%
http://nderumo.blogspot.com-1.57%
http://bwaya.blogspot.com-0.79%
http://fromcoast.blogspot.com-0.79%

Best Informative - Economy Blog
http://bugangoborder.blogspot.com-41.44%
www.mohammeddewji.com/blog-18.23%
http://mwanasosholojia.blogspot.com-11.6%
http://fullshangwe.blogspot.com-11.05%
http://hapakwetu.blogspot.com-5.52%
http://economyticker.blogspot.com-4.97%
http://chesimpilipili.blogspot.com-2.76%
http://mrokim.blogspot.com-2.76%
http://chingaone.blogspot.com-1.66%

Best Entrepreneur Blog
www.mohammeddewji.com/blog-23.5%
http://josephatlukaza.blogspot.com-17.49%
http://mwanasosholojia.blogspot.com-14.75%
http://sherianamavazi.blogspot.com-13.66%
http://kilinyepesi.blogspot.com-12.57%
http://laprincessaworld.blogspot.com-9.84%
http://allyshams.blogspot.com-6.01%
http://Liwazozito.blogspot-1.64%
http://itycoon4id-0.55%
http://www.JigambeBlogs.com-0.0%

 Gonga HAPA kwa matokeo ya jumla.

Pia Kibaraza kinachukua nafasi hii kuwashukuru waandaaji wa tuzo hizi. Pamoja na kwamba hawakujulikana ni akina nani hasa, lakini jitihada za kuandaa tuzo hizi (ukiacha matatizo madogo madogo ambayo haswa ni udhaifu wa kibinaadamu/kiteknolojia) ni za kupigiwa upatu. Waandaaji wamedhihirisha kuwa inawezekana kwa wanablog kuenziwa kwa namna mbalimbali kutokana na mchango mkubwa unaotelewa na tasnia hii nchini kwetu. Bado tuna safari ndefu, lakini mwanzo ni mzuri.
- Mwanasosholojia-

1 comment:

  1. Pamoja .. endeleza kazi nzuri ya kuelimisha ..

    ReplyDelete