03/08/2011

Majina yetu kwa Kijapani


Wanasema herufi A-Z kwa Kijapani zinasimama badala ya maneno yafuatayo:

A- ka,
B- tu,
C- mi,
D- te,
E- ku,
F- lu,
G- ji,
H- ri,
I- ki,
J- zu,
K- me,
L- ta,
M- rin,
N- to,
O- mo,
P- no,
Q- ke,
R- shi,
S-ari,
T- chi,
U- do,
V- ru,
W- mei,
X- na,
Y- fu,
Z- da.

Kuna ukweli hapa na ukijaribu herufi za jina lako kwa Kijapani unatamkaje jina lako?

2 comments:

  1. Nikichua la kwanza itakuwa Mirikamirika!!!!!!!

    Kaazi kweli kweli

    ReplyDelete