02/08/2011

Solo Thang afunika Dublin

Gwiji wa muziki wa kufoka-foka, Msafiri Kondo almaarufu kama Solo Thang amedhihirisha kuwa bado yupo kwenye chati baada ya "kufunika" (kama waitavyo watoto wa mjini) jijini Dublin, Ireland. Solo ambaye kwa sasa anaishi Dublin, alikonga nyoyo za wapenzi wa muziki huo katika ukumbi wa Good Bits (zamani Radio City). 

Sehemu ya wapenzi wa Muziki wa Solo "wakisuuza roho zao"

Solo akikamata mic

Solo "akipagawisha"

"...Hakuna S bila O...L bila O...."

Burudani kwa "kwenda mbele"

Mwanasosholojia naye alikula "konozzz" na Solo

No comments:

Post a Comment