06/08/2011

Usanii wa Sanaa

Nilipoiona kwa mara ya kwanza nilishangaa usanii huu. Nikajiuliza aliyechora taswira hii alitaka kufikisha ujumbe gani...sikupata jibu moja sawia. Huenda alikuwa na ujumbe wa kufikisha kuhusu hili bara letu...unafahamu ni bara gani kwa kuangalia taswira hii hapa chini? Na unafikiri nchi yetu ipo eneo gani na ina maana gani kuwa hapo? Maswali juu ya maswali....


4 comments:

 1. Sasa chungulia kwa makini ilipokalia Ghana: nchi ya kwanza ya kujipatia uhuru kwa Mwafrika... Safi sana!

  ReplyDelete
 2. Duh usanii mwingine balaa!

  ReplyDelete
 3. Mie nafikiri tuangalie sana ilipokaa nigeria na Cameroon

  ReplyDelete
 4. ANGELA JULIUS03/10/2011, 16:01

  HAPA NIPO KIMYA MANAKE NI SANAA TA AJABU HII

  ReplyDelete