24/09/2011

Video ya Uokoaji Ajali ya Meli Zanzibar

Wakati tume iliyoundwa kuchunguza tukio la kuzama kwa Meli ya Mv Spice Islander ikiendelea na kazi yake, waweza kujionea kipande cha video kikionesha juhudi za uokoaji na maelezo ya jinsi ajali ilivyotokea kutoka kwa baadhi ya wahanga wa ajali hiyo. 

BOFYA HAPA 

Kwa video zaidi za ajali hiyo tembelea  
 http://blip.tv/mzalendonetNo comments:

Post a Comment