24/09/2011

Jiandae kwa Video mpya ya Solo Thang

Msafiri Kondo a.k.a Solo Thang a.k.a Traveller
Baada ya kudondosha bonge la video la wimbo wa NOT OVER hivi karibuni, gwiji la muziki wa "kufoka-foka" Solo Thang anaandaa video nyingine ya wimbo wake mkali unaokwenda kwa jina la jina la SOUL MATE akimshirikisha mwanadada Linah. Nisikucheleweshee uhondo, Bonyeza kitufe hapo chini kusikiliza na kaa mkao wa kula kwa video yake punde.

No comments:

Post a Comment