KAMA NI MTOTO WAKO AMEJIBU HAYO MAJIBU KWENYE MTIHANI LOL INABIDI UPIGE GOTI UMWOMBE MUNGU MANAKE NI HATARI NA BALAA. USHAURI KWA SISI WENYE WATOTO NI VIZURI WANAPOKUWA WAMERUDI SHULE UCHEKI MADAFTARI YAO NA KAZI ZAO ZA KILA SIKU HUKO SHULE BILA KUSAHAU MITIHANI YAO.
KAMA NI MTOTO WAKO AMEJIBU HAYO MAJIBU KWENYE MTIHANI LOL INABIDI UPIGE GOTI UMWOMBE MUNGU MANAKE NI HATARI NA BALAA.
ReplyDeleteUSHAURI KWA SISI WENYE WATOTO NI VIZURI WANAPOKUWA WAMERUDI SHULE UCHEKI MADAFTARI YAO NA KAZI ZAO ZA KILA SIKU HUKO SHULE BILA KUSAHAU MITIHANI YAO.