03/10/2011

Taswira ya Leo

Hapa unaweza kusemaje?5 comments:

  1. Waweza kumbushwa BINADAMU wote ni sawa lakini SI SAWASAWA !:-(

    ReplyDelete
  2. ANGELA JULIUS05/10/2011, 09:16

    KWA UPANDE WANGU NIONAVO MIMI ANGELA, MAENDELEO YA NCHI IWE TAJIRI AU MASKINI KAMA KIONGOZI WA NCHI ILE HAJAINGIA KWA MAPENZI YA MUNGU BASI NCHI HALI YAKE KIUCHUMI ITAKUWA MBAYA SANA NA HATA BARAKA NYINGINE TUNAZIKOSA NA KUBAKI KULAUMU NA WENGINE HATA KUIOMBEA NCHI MAKANISANI NA MISIKITINI.
    EE MUNGU HUYU NDO KIONGOZI WA NCHI YETU EMBU MUONE ANAPOTOKA HAPO KWENYE HICHO KIJUMBA CHA NYASI JE NI SALAMA?ALICHOENDEA HUMO NDANI KINA FAIDA YOYOTE ILE YA NCHI YAKE NA WATU WAKE ANAOWAONGOZA? NAMALIZIA KWA KUUNGANA NA DADA YASINTA VIPI HUKO SALAMA?

    ReplyDelete