25/10/2011

Kifungo Huru

Ni raha sana unaposikiliza mashairi matamu katika wimbo na kuangalia video iliyofumbata mashairi hayo katika ujuzi wa hali ya juu. Huyu bwana mdogo anaitwa C-sir Madini, msanii chipukizi kutoka Tetemesha Recordz, wimbo wake huu uitwao "KIFUNGO HURU" ambao video yake imefanywa na Adam Juma Next Level, unaleta raha mno kuusikiliza na kuuangalia.

1 comment: