04/11/2011

Kitabu cha Makulilo Kukamilika Punde!Nipo katika hatua za mwishoni za uandishi wa kitabu kihusucho mambo ya udhamini wa elimu - ughaibuni.

Jina la kitabu ni SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES IN AMERICA AND EUROPE: The Secret From Makulilo 

Mtunzi: Ernest Boniface Makulilo (MAKULILO, Jr.)

Kitabu kinatarajiwa kuwa sokoni mwanzoni mwa 2012. 
Sikiliza BOOK TRAILER upate kujiandaa kupata nakala yako mara kitabu kikiingia sokoni.
TRAILER inapatikana kwenye link; 


Kwa habari zaidi za udhamini wa elimu ughaibuni tembelea tovuti zifuatazo

1. MAKULILO SCHOLARSHIP BLOG www.makulilo.blogspot.com

2. SCHOLARSHIP FORUM www.scholarshipnetwork.ning.com JOIN/SIGN UP to get free scholarship updates in your e-mail inbox


4. TWITTER www.twitter.com/scholarshipssss FOLLOW ME to get scholarships


Kwa mawasiliano nami: E-Mail makulilo@makulilofoundation.org

MAKULILO

No comments:

Post a Comment