18/11/2011

Heri na Baraka kwako Erick!


Erick akiwa "amekonsentreti"
  Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mdau muhimu wa kibaraza hiki, Erick Victor. Kibaraza kinakutakia heri na baraka katika maisha yako Erick na zaidi mafanikio katika masomo yako.
May all the best in life enrich your future way, adventure and good fortune, too, bring joy to you each day. 
Happy Birthday Erick!

3 comments:

 1. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA ERICK!

  ReplyDelete
 2. PAMELA ANGELA29/11/2011, 14:10

  HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA ERICK, MUNGU AKULINDE SIKU ZOTE NA BARAKA TELE ZIKUANDAME SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO AMEIN.

  ReplyDelete
 3. Hongera mwaya:
  This blog very interesting but you can also try these ..www.jigambeads.com and ..www.tanzaniakwetu.com for popularity and more advert to advertise. Thanks

  ReplyDelete