21/11/2011

"Hepi Besidei" Magreth!

Magreth alipo-"grajueti"

Leo mdau mwingine muhimu wa kibaraza hiki, Magreth Mathew Senga anakumbuka siku yake ya kuzaliwa. Kibaraza kama ilivyo ada, kinamtakia heri na baraka katika maisha yake ya kila siku na kinamuasa azidi kuongeza juhudi katika masomo. 

May you blessed today, tomorrow and always in peace, in health, in happiness and in love.

"Hepi Besdei" Magreth!

4 comments:

 1. HONGERA SANA KWA SIKU YA KUZALIWA SHANGAZI YANGU MAGRETH. MWENYEZI MUNGU NA AKULINDE UWE NA AFYA NJEMA NA UWE NA MAISHA PIA MAFANIKIO KWA KILA UNALOTEGEMEA KUFANYA.

  ReplyDelete
 2. Pamela Angela29/11/2011, 14:03

  Hongera Magreth ingawa nimechelewa kuja kutembelea maeneo haya lol nisamehe. Nkutakia Maisha Marefu Yenye Baraka Tele siku zote maishani mwako

  ReplyDelete
 3. Hongera pacha wangu umekuwa mdogo wangu. Mungu akulinde. Fadhila Kihwele

  ReplyDelete