12/02/2012

Taswira ya Leo

Unaweza kuielezea vipi hii...?


3 comments:

  1. MAMA AMADOPA18/02/2012, 06:11

    DAH KIBANO AMBACHO NINGEWAPA WASINGENISAHAU, HII YOTE NI KUWAFUNZA KUWA ELIMU NI MUHIMU KWA MAISHA YAO SASA HAPO WANANONEKANA LIVE WAKITOROKA SHULE.

    ReplyDelete
  2. Da'Yasinta hakika ni kazi kwelikweli..@ Mama Amadopa hapo wanatoroka au wamechelewa shule?Chini hapo panaonekana kibao cha kuonesha mtaa ambacho obvious kipo nje ya ukuta wa shule, nawaza kwa maandishi tu...:-)

    ReplyDelete