05/03/2012

Hongera Pamela!

Leo binti mtulivu Pamela anakumbuka siku yake ya kuzaliwa. Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wanamtakia Pamela heri, baraka, mafanikio na ulinzi wa Mungu katika siku zake zote zijazo. Hongera sana Pamela!

4 comments:

  1. MAMA AMADOPA06/03/2012, 05:54

    wow Pamela huyo NAMTAKIA MAISHA MAREFU YENYE FURAHA NA BARAKA TELE, HAPPY BIRTHDAY MY DAUGHTER.

    ReplyDelete
  2. Hongera kwa siku ya kuzaliwa Pamela!

    ReplyDelete
  3. Happy Birthday Pamela! Kina Denzil wanakupa hongera siku yako ya kuzaliwa


    Mama M.

    ReplyDelete
  4. Hongera Pamela! Naomba sala ya baba yako hapo juu iwe ya kweli. Mungu Akubariki sana !!!

    ReplyDelete