01/03/2012

Mama apewa ujauzito na Mwanae


Imetokea huko Zimbabwe ambapo kijana Farai Mbereko (23) amempa ujauzito mama yake mzazi, Betty Mbereko (40) baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Mama huyo mwenye ujauzito wa miezi sita anaweka wazi kuwa alitumia pesa nyingi kumsomesha mwanae baada ya kifo cha mume wake, na kwa kuwa kwa sasa kijana huyo anafanya kazi anafikiri kuwa ana haki ya kufaidi matokeo ya jasho lake, na si mwanamke mwingine yeyote. Kijana Farai anasema anajiandaa kufunga ndoa na mama yake. Kusoma kwa undani habari hii BOFYA HAPA 

Hii imekaaje wadau?
2 comments:

  1. Hii haijakaa vizuri KABISA ni dhambi na kukufuru kabisa ...nimeishiwa kabisa maneno hakika huu ni mwisho wa dunia sasa ...

    ReplyDelete
  2. MAMA AMADOPA02/03/2012, 14:01

    DAH HAWA AKILI ZAO HAZIPO SAWA COMPLETELY NI LAANA HII AMBAYO WAMEIWEKA KWENYE UZAO WAO DAH SINA MENGI NIISHIE HAPA NI KIZUNGUZUNGU TUU.

    ReplyDelete