15/04/2009

Profesa Wole Soyinka Aionya Afrika

Mshindi wa tuzo ya Nobel (1986) na Mwandishi maarufu Profesa Wole Soyinka


Profesa Akinwande Oluwole "Wole" Soyinka ametaka viongozi wa nchi za Afrika kuachana na sera za mshikamano wa kihalifu zenye lengo la kulindana huku zikikumbatia uovu. 

Kwa undani wa habari hii, bofya hapa


1 comment:

  1. Ni kweli anayosema Prof. Soyinka,bila kufanya hivyo 'kuondoa umaskini'itakuwa ni dhana isiyotimilika.

    ReplyDelete