Mshindi wa tuzo ya Nobel (1986) na Mwandishi maarufu Profesa Wole Soyinka
Profesa Akinwande Oluwole "Wole" Soyinka ametaka viongozi wa nchi za Afrika kuachana na sera za mshikamano wa kihalifu zenye lengo la kulindana huku zikikumbatia uovu.
Kwa undani wa habari hii, bofya hapa
Habari nyingine za Profesa Soyinka waweza kuzipata kupitia http://nobelprize.org/nobel_prizes/literature/laureates/1986/soyinka-bio.html na http://prelectur.stanford.edu/lecturers/soyinka/
Ni kweli anayosema Prof. Soyinka,bila kufanya hivyo 'kuondoa umaskini'itakuwa ni dhana isiyotimilika.
ReplyDelete