Wadau mnaiona hiyo? Hiki ni kipindi cha kampeni za chaguzi (Local Elections) nchini Ireland. Wagombea wanajinadi na kujipigia upatu ili kupewa libeneke la kuongoza raia. Moja ya mbinu wanayotumia ni kubandika picha zao na maelezo katika mabango barabarani. Katika pita pita zangu nimekutana na hiyo picha hapo juu nikaona si vibaya kuwashirikisha. Ukiitizama unagundua ya kuwa picha ya mgombea wa chini imegeuzwa chini juu hali inayopelekea ugumu hata kusoma maelezo yake.
Angalia zaidi hapa chini;
Kazi kwelikweli, labda walipoigeuza hiyo picha walimaanisha hawamtaki huyo haina maana ya kmpigia kura atoke tu
ReplyDeleteHujambo Mathew?
ReplyDeleteKuna kazi inakusubiri. Pitia kwangu kwa maelezo.
Serina.
Sijambo da Serina, nitapitia kuifanya hiyo kazi! Ahsante kwa kunitembelea!
ReplyDeleteHiyo picha imeniacha hoi kabisa!!
ReplyDelete