Kuna wakati inakulazimu kutumia mbinu za kimaandishi ili kuvuta wateja kuja dukani kwako, zaidi ya kutangaza tu PUNGUZO LA BEI!(kwa kimatumbi) au SALE! SALE! (kwa kimombo). Mdau ameomba tutundike hizi alizokutana nazo katika maduka mbalimbali ughaibuni
Tunaitafsiri namna gani hii wadau?
No comments:
Post a Comment