20/04/2010

Mdau Zacky na Ujasiriamali

Mdau Zacky

Ujasiriamali ni jambo jema kama anavyofanya mdau wangu Zacharia Venance Kabu "Zacky" anayejishughulisha na biashara ya nguo za wanaume na wanawake za "kileo" kabisa. Zacky anayo blog yake waweza kumtembelea kwa kubofya hapa na kujichagulia ukipendacho kabla ya kumtembelea "mzima mzima".

1 comment:

  1. Safi sana inafurahisha kwa kweli ndugu wanazidi kuongezeka.

    ReplyDelete