09/05/2010

Makulilo alivyouaga Ukapera

Mdau mkuu wa malibeneke ya "skolashipu" ya www.makulilo.blogspot.com
www.scholarshipnetwork.ning.com, Ernest Makulilo (almaarufu Makulilo Jr) ameagana na klabu ya makapera baada ya kufunga ndoa na bibie Marie Mowery, tarehe 1 mwezi Mei huko San Diego, California, Marekani. Hebu check japo kwa uchache wake mambo yalivyokuwa "mswano"


Hizo zote juu ni kabla ya arusi


Juu ni mambo yalivyojiri kanisani na kwenye tafrija

Hapo ni kabla ya kuwa Mr & Mrs Ernest Makulilo

Hongereni sana na mafanikio mema katika maisha yenu mapya!

2 comments:

  1. Ama kweli wanameremeta kweli hongera sana mr & Mrs Makulilo. na karibu sana katika maisha haya ya ndoa na mapya.

    ReplyDelete
  2. Mr na Mrs Makulilo hongereni sana kwa kufunga pingu za maisha, kwa kweli mlipendeza sana.
    Dismas Msanya
    Kigoma Tz.

    ReplyDelete