15/05/2011

Barua ya Jumapili

Wakati siku hizi simu na njia nyingine za mawasiliano kama barua pepe ndizo zimeshika chati hata ikitokea mtu anamhitaji kimapenzi mwingine, nyuma kidogo barua ndizo zilikuwa nyenzo ya "kufikisha ujumbe". Leo nimekutana na hii...
Imekaaje hii wadau?

1 comment:

  1. Hakika zamani ilikuwa bombi sana. Maana ukipata hiyo barua basi utaitunza mpaka ...lakini leo kaazi kwelikweli maana si barua tu hata kutembeleana kama zamani hakupo tena ....naitamani zamani jamani...

    ReplyDelete